Usajili wa Perisic kuelekea Man utd hauzuiliki

chezaji Perisic ameamuwa kutumia njia ya kugomea klabu yake kwa kutosafiri kwenda china kwa ajili ya mechi za maandalizi ili kuifanya ikubali kumuuza kwa Manchester United.
Kwa taarifa za ndani ya klabu ya Inter Milan ni kuwa klabu hiyo imeanza mchakato wa kumsaini mchezaji Keita Balde kutoka Lazio ya Italia ili kwenda kuziba pengo la Perisic atakapojiunga na Mashetani wa jiji la Manchester. Perisic
amepewa ruhusa ya kutohudhuria mazoezi ya klabu hiyo na kwenda nchini kwao croatia kumuona dokta meno.
Perisic atakuwa ni wa tatu kusajiliwa kati ya wachezaji wanne ambao Mourinho anataka kuwasajili msimu huu.

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United