Maisha ya soka ya Herrera

Ander Herrera alizaliwa na kulelewa katika mji wa Bilbao baba yake alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Zaragoza naye pia alikuwa ni kiungo wa kati wa klabu hiyo anaeitwa Pedro Maria Herrera.
Herrera alifuata nyayo za baba yake mapema akiwa bado mdogo kwa kujiunga na timu ya vijana ya Real Zaragoza alicheza mechi 20 na kushinda magoli mawili Herrera alifanikiwa kucheza timu ya wakubwa msimu wa 2008 - 2009 akipanda ndege kwenda kucheza na CD Tenerife mwaka 2009 tarehe 29 kipaji chake kilionekana katika timu ya taifa ya Spain vijana chini ya umri wa miaka 20 iliyoshiriki kombe la dunia na mwaka 2011 alisaidia timu yake ya hiyo ya taifa kutwaa kombe la European chini ya miaka 21, mwaka huohuo alijiunga na klabu ya Athletic Bilbao kwa mkataba wa miaka mitano na mechi yake ya kwanza Bilbao ilikuwa ni tarehe 18/8/2011 kufikia mwaka 2014 alijiunga na Manchester united na ndipo anapochezea hadi sasa.
Herrera anamililiki nyumba katika mji wa Manchester pia anamiliki gari aina ya chevloret corvette.

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United