Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Wayne Rooney
Mshambuliaji wa Man united mwenye mafanikio makubwa ambayo kila mchezaji anaota kuyafikia katika kazi yake hiyo kuanzia klabu yake ya Man united hadi timu ya taifa, haya ni baadhi ya mambo ambayo huyajui kumhusu yeye
1> Akiwa na Everton katika kikosi cha wachezaji wa chini miaka 11 Rooney alifunga magoli 114 katika michezo 30.
1> Akiwa na Everton katika kikosi cha wachezaji wa chini miaka 11 Rooney alifunga magoli 114 katika michezo 30.
2> Steve Rutter wakati akiwa.kocha wa timu ya taifa ya Uingereza chini ya miaka 15 hakutegemea kama Rooney angekuwa kapteni wa Uingereza au moja ya mshambuliaji bora duniani kutokana na kutoamini uwezo wake kwa kuamini kwake kuwa hakustahili kucheza nafasi ya mshambuliaji badala yake akamuweka winga na sio mshambuliaji.
3> Akiwa na miaka 14 tu Rooney alifanikiwa kupata mkataba wake wa kwanza na UMBRO uliompatia pound elf 2 kwa mwaka.
4> Ana matatizo ya macho tangu akiwa mdogo alipimwa macho na kupewa miwani lakini ni mara

![]() |
Mjue Rooney |
chache tu ambapo Rooney alivaa hiyo miwani.
5> Rooney alihoji kuhusu mbinu za ufundishaji za kocha msaidizi wa Everton mbele ya wachezaji wenzake kwa hasira kocha msaidizi wa Everton wa wakati huo aitwae Alan Irvine alipomwambia kwa hasira "rudia tena ulichokisema nikurudishe katika timu ya vijana" Rooney kwa unyonge alimjibu kuwa "hapana,sitarudia"
6> Alizoea kuendesha pikipiki yake ndogo ya YAMAHA PW80 yenye gear 3 haina clutch
hakuwa hata na leseni alitegea pale ambapo hakuna Polisi ndio aliendesha usafiri wake huo.
7> Alifahamu somo la dini tu shuleni katika mwaka wake wa nane kufanya mtihani
alipata ziro(0) ya somo la Geography na Spanish (kihispania).
8> Wakati akiwa yupo katika klabu ya Everton alimmwagia ndoo ya maji baridi kocha wa
Everton David Moyes akiwa chooni na bila ya Moyes kumjua yupi aliyefanya kitendo hicho.
8> Baada ya kuifunga Arsenal wakati akiwa na umri wa miaka 16 aliporud nyumbani
alicheza mpira tena na marafiki katika gereji nje ya nyumba ya Coleen ambae ni mke wake kwa sasa.
9> alilala chumba kimoja na wazazi wake mpaka alipofika umri wa miaka 5 kwa sababu aliogopa mzimu wa rangi ya njano na kijani kitu ambacho ni tofauti kwa wazungu kulala chumba kimoja na mtoto wao,
10> Kwa mara ya kwanza rooney kuitwa timu ya taifa mwaka 2003 february, Alilala chumbani katika chumba chake hadi ikabidi wakaombe funguo mapokezi ili kumuamsha.
10> Kwa mara ya kwanza rooney kuitwa timu ya taifa mwaka 2003 february, Alilala chumbani katika chumba chake hadi ikabidi wakaombe funguo mapokezi ili kumuamsha.
Comments
Post a Comment