Man united yafanya hatari katika tuzo za ligi kuu Uingereza

Lukaku ametajwa katika majina wachezaji watatu waliochaguliwa kugombea mchezaji bora wa mwezi wa nane(August) huku Manchester ikifanikiwa kutoa majina manne likiwemo la kocha Jose Mourinho anaegombea tuzo ya kocha bora wa mwezi huku mengine yaliotajwa ni Phil jones na Mkhitaryan.
Lukaku aliekuwa mchezaji wa Everton amefanikiwa kufunga magoli matatu hadi sasa katika mechi tatu alizocheza ukiacha majina hao wengine wanaogombea ni Morata wa Chelsea, Saido Mane na Salah wote wakiwa wachezaji wa Liverpool na kipa wa Huddersfield aitwae Jonas Lossl.

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United