Rooney apishana na Lukaku Manchester united

Klabu ya Manchester united yakubali kutoa paund milioni 75 kwa klabu ya Everton ili kukamilisha usajili wa Romelo Lukaku.
Mshambuliaji huyo alifanikiwa kufunga magoli 71 katika michezo 133 aliyocheza tangu ajiunge na klabu hiyo mwaka 2014 .
Manchester united imefanikiwa kuziba pengo la Ibrahimovic aliyeachwa huru mwishoni mwa msimu huu kwa kumnasa mshambuliaji huyo mwenye miaka 24 kama mbadala wa muda mrefu huku klabu ya Everton ikipewa nafasi kubwa ya kumrudisha Wayne Rooney msimu huu.
   

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United