Takwimu ya wachezaji wa Man utd baada ya mchezo dhidi ya LA Galaxy
Manchester United imeanza vzuri mechi yake ya maandalizi baada ya kuichabanga klabu ya LA Galaxy ya Marekani kwa mabao 5 kwa 2 katika mchezo huo ambao Mourinho alichezesha vikosi viwili tofauti ili kuipima timu yake vizuri.
Huu ulikuwa ndio mchezo wa kwanza kwa wachezaji Lukaku na Lindelof kwenye timu yao hiyo mpya na hizi ndio takwimu za mchezo huo.
De Gea : Hakuokoa mchomo wowote katika mchezo huo lakini bado umuhimu wake ulionekana katika kuanzisha mashambilizi kwa kutoa pasi nzuri. 2/5
Daley Blind : Hakupata matatizo sana kiulinzi lakini msaada ulikuwa pale alipotoa pasi nzuri za mbele katika kusukuma mashambulizi mbele ya timu pinzani. 3/5
Chris Smalling : Smalling hakuwa pembeni alicheza kama beki wa kati aliziba njia za wapinzani kupita alionyesha kujiamini na kucheza kwa uangalifu mkubwa. 3/5
Phil Jones : Hakuwa na mambo mengi uwanjani lakini aliwajibika vizuri katika kuzuwia hatari zote golini. 3/5
Anthony Valencia : Aliwazima wapinzani katika upande wake wa kulia na kusababisha mashambulizi golini mwa adui muda wote aliokuwepo uwanjani. 3.5/5
Michael Carrick : Ng'ombe hazeeki maini ndicho naweza sema kwa huyu mtu.Alionesha ubora wake na kwanini Mourinho alimuamini kwa kumpa ukapteni aliiongoza timu vizuri kwa kutoa pasi ambazo zilifungua beki za imu pinzani. 3.5/5
Marouane Fellaini : Alifunga goli zuri alisaidia timu vizuri katika kupeleka mashambulizi mbele. 3/5
Ander herrera : Amecheza vizuri kama kawaida yake siku zote kwa kuipandisha timu vizuri kuenda mbele kutumia nguvu aliyonayo akiwa na mpira mguuni. 3/5
Jesse Lingard : Alihusika katika matokeo mengi mazuri ndani ya mchezo lakini bado hajaonyesha kukomaa vizuri katika mchezo nategemea vizuri zaidi kutoka kwake hivyo lazima ajitume zaidi. 2.5/5
Marcus Rashford : Amefunga magoli mawili lakini amekosa nafasi moja ya wazi ambayo ingeweza kumfanya amalize na hatrick hilo haliondowi ukweli kuwa ni mchezajin mwenye kipaji cha hali ya juu. 4/5
Wachezaji wa akiba
joel Pereira : Alifungwa magoli mawili ambayo kama angekuwa mtulivu alikuwa na uwezo wa kuzuia na kufanya matokeo yawe tano bila. 2/5
Victor Lindelof ;Jamaa ni mtulivu sana awapo uwanjani na pasi zake ni za uhakika na matumaini atakuwa ni msaada mkubwa kwa mashetani wekundu msimu ujao. 3.5/5
Eric Bailly : Hakupata kibarua kikubwa katika nafasi yake na alicheza bila kupata mikiki mikiki ya washambuliaji. 3/5
Axel Tuanzebe : Mchezaji huyu chipukizi wa Manchester ana kipaji cha pekee kwani licha ya kasi aliyonayo lakini pia ni mtulivu sana awapo na mpira leo ameenda na kasi ya mchezo. 3.5/5
Matteo Darmian : Amekaba vizuri nyuma lakini alikuwa mzito kuenda mbele kusaidia mashambulizi. 3/5
Henrikh Mikhtaryan : Ameisaidia timu kupanda mbele muda wote wa mchezo na kila aliposhika mpira basi alisabisha hatari golini mwa aduri na ameondoka na goli moja. 4/5
Andreas Pereira : Amerudi tena katika na leo alikuwa katika kiwango kizuri kwa kuumiliki mchezo vizuri 3/5
Paul Pogba : Ni mchezaji aliyekamilika amefanya kazi zote vizuri kukaba kutoa pasi za uhakika kama alivyozoea kufanya. 4/5
Anthony Martial : Amewaonyesha Man unitaed ni kipi watakikosa ikiwa wataamuwa kumuuza ameshinda goli zuri aliwasumbua sana mabeki wa timu pinzani. 4/5
Romelu Lukaku : Amekosa goli la wazi lakini amecheza vizuri aliumiliki mpira vizuri na kucheza vizuri awapo na asipokuwa na mpira.2.5/5
Wengine : Demetri Mitchell - Hakupata muda mwingi

Comments
Post a Comment