Inter Milan wavunja ukimya juu ya Perisic
Klabu ya Inter Milan yavunja ukimya na kuzungumzia habari za usajili zinasombaa kumhusu Perisic.
Klabu ya Manchester United inahaha kusaka saini ya kiungo mshambuliaji hasa baada ya kuondoka kwa Wayne Rooney na huku mchezaji huyo wa Inter Milan akipewa nafasi kubwa kujiunga na mashetani hao wekundu wa jiji la Manchester.
Kupitia chombo cha habari cha sky sport ya Italy kimetoa taarifa mpya juu ya ishu hiyo wakati akizungumza na vyombo vya habari Piero Ausilio mwenye cheo cha sporting director katika klabu hiyo ya Milan alisisitiza kuwa hakuna dili yoyote kati yao na Man united.
"Haiwezi kutokea" kama alivyonukuliwa na sky Italy
"Perisic anafanya mazoezi na sisi hivyo hatuwezi kukubali ofa yoyote watakayoiwasilisha kwetu"
Perisic mwenye umri wa miaka 28 raia wa Croatia kama akifanikiwa kujiunga na Manchester United atakuwa ni mchezaji wa tatu kujiunga baada baada ya Lindelof kutoka Benfica na Lukaku kutoka Everton.
Tupia comment yako chini apo bila ya masharti yoyote au kujisajili.

Comments
Post a Comment