Mama wa Ferdinand afariki dunia
Mama wa Rio na Anthony Ferdinand afariki dunia baada ya kusumbuliwa na Cancer.
Bi Janice st Fort aliekuwa na miaka 58 alifariki dunia hospitalini akiwa na familia yake pembeni habari hizi zimekuja miaka miwili tu baada ya aliekuwa mke wake Ferdinand kufariki dunia na Cancer ya ziwa.
Wanafamilia wakitoa maneno yao ya mwisho baada ya mazishi karatasi ilisomeka hivi.
"Tuna huzuni kuwaarifu kuwa mama yetu kipenzi Janice amefariki leo baada ya kusumbuliwa na Cancer.
Alikuwa ni mtu muhimu kwetu na aliependwa na kila aliemjua.
Alifariki dunia katika hospitali ya Guy's Cancer Unit, iliyopo London bridge.
Alopoteza maisha huku akiwa na mume wake mpendwa Peter pamoja na sisi watoto wake wanne kando ya kitanda chake.
Na wakimalizia kwa kutoa pongezi kwa wafanyakazi wote wa hospital hiyo ya Guy's Cancer Unit kwa kumhudumikia mama huyo kwa kipindi chote alichougua hapo.
Ferdinand alimpoteza mke wake Rebeca Ellison mwaka 2015 huku mama yake bi Janice akifariki miaka miwili baadae na kuacha watoto wanne ambao ni Rio, Anthony Ferdinand na wa baba mwengine Sian na Jeremiah Peter.

Comments
Post a Comment