Ivan Perisic athibitisha kusajiliwa na Man united
Baada ya kukamilisha usajili wa Lukaku sasa klabu ya Man united inatazamia kukamilisha usajili wa winga machachari Ivan Perisic baada ya mchezaji huyo wa Inter Milan kuthibitisha hilo kwa vitendo katika mtandao wa kijamii ambapo tangu juzi taarifa kubwa iliotawala ni juu ya aliekuwa mshambuliaji wa Everton Lukaku kusajiliwa na man united kwa dau la paund milion 71.
Perisic kwa kuonyesha mapenzi yake na klabu ameanza kwa kumfollow Lukaku katika account yake ya Instagram akiendelea kwa kuzi like picha ambazo Lukaku na Pogba wamepiga wakiwa pamoja
Comments
Post a Comment