Man united yaichabanga Valerenga 3 - 0 pamoja na video ya magoli yote

klabu ya Manchester united jana iliendeleza ubabe wake ya kutoka kupoteza kwa Barcelona katika mechi za kirafiki zilizopigwa Marekani ambapo mpaka sasa Manchester wamepoteza mchezo moja tu katika michezo yote sita waliocheza ya kujiandaa kwa msimu ujao huku maingizo mapya kama Lukaku na Lindelof wakiendelea kung'ara vyema.
Katika mchezo wa jana jumapili United walifanikiwa kuichabana valerenga kwa magoli matatu yaliofungwa na wachezaji Fellaini, Lukaku na Mctominay aliemalizia pasi nzuri kutoka kwa Martial kufanya matokeo kuwa tatu bila.


     

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United