Carrick amtaja atakaerithi ukapteni baada ya yeye kustaafu
Mchezaji wa Manchester united ambae ni kapteni kwa sasa Michael Carrick amemtaja mrithi wake baada ya yeye kustaafu kwa kumtaja Pogba kama mbadala wake baada ya yeye kustaafu lakini jambo hilo linaweza kumuongezea presha mchezaji huyo aliesajiliwa kwa dau nono kwa kurejea tena mara hii akitokea Juventus.
Klabu ya Manchester ilipata skendo ya kuwa ilitumia njia za panya kumsaini akitokea Le Havre na kusemekana kuwa ingehukumiwa kwa kufungiwa kusajili lakini hata hivyo dai hilo lilitupiliwa mbali kwa kukosa ushahidi na mwaka 2016 akirejea tena kwa dau nono lililozuwa maneno na vijembe kutoka kwa waandishi na wachambuzi wa soka kabla ya kufanikiwa kutwaa vikombe vitatu ambavyo ni ngao ya jamii, kombe la ligi na Europa ndogo.
Kocha Jose Mourinho amekataa kutaja kapteni msaidizi mwaka huu tangu Rooney atimkie katika klabu yake ya utotoni ya Everton na Carrick kurithi beji hiyo huku akiwa na umri wa miaka 36.
Swali ni je Pogba ni mtu sahihi wa kurithi beji hiyo?

Comments
Post a Comment