Rooney aondoka ili kupisha usajili mpya Manchester

Mchezaji wa man utd Wayne Rooney aondolewa katika kikosi cha Manchester united kitakachosafiri siku tano zijazo ili akamilishe usajili wake wa kwenda Everton nakupisha usajili mpya ndani ya klabu ya  Manchester united.
Hii inatoa mwanya kwa kiungo wa Real Madrid James Rodriguez kujiunga na klabu ya Manchester United ambapo kikwazo kikubwa ni jezi ya namba 10 inayovaliwa na gwiji huyo wa timu ya Manchester anayeshikiliya record ya kuwa mfungaji wa mda wote katika klabu hiyo.
Ambapo mkataba wa adidas unamlazimisha James kuvaa jezi yenye namba 10 katika timu yoyote atakayochezea.
James Rodriguez amekuwa akihusihwa na kujiunga na klabu hiyo kabla dirisha kubwa la usajili kufunguliwa na mchezaji huyo amewahi kuzitema ofa nyingi ikiwemo ile ya kutoka klabu ya Inter Milan ili apate kujiunga na klabu ya mashetani wekundu wa jiji la Manchester.


man utd vs rael Madrid

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United