Matic kumalizana na Manchester united

Imethibitishwa na sky kuwa matic anakaribia kujiunga na Manchester na muda wowote kuanzia sasa atafanyiwa vipimo vya afya Matic anatarajia kufanya kazi tena na kocha Jose Mourinho baada ya kutengana nae mwaka 2014 wakati ambao Mourinho alitolewa muhanga na Abrohmovic baada ya mwenendo mmbovu wa klabu hiyo na mwaka 2016  Mou akajiunga na mahasimu wakubwa wa klabu ya Chelsea  jiji ya la London ambayo  ni klabu ya Manchester united.
Matic ni chaguo la kwanza kwa kocha Jose Mourinho katika nafasi ya kiungo mbele ya mchezaji Fabinho, kocha huyo mreno amesema wazi kuwa anahitaji kiungo wa kati na mshambuliaji mmoja wa pembeni ili kuanzisha nafasi ambayo anahushwa Perisic wa Inter Milan.

Comments

  1. He has already signed for Manchester United. There are leaked pictures on internet showing him wearing a Manchester United training kit.

    ReplyDelete
  2. He is a good signing for Manchester United. He is good additional to the squad.

    ReplyDelete
  3. He should play alongside Paul Pogba or Ander Herrera. They will make a good combination.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United