Sky Sport : Perisic kusaini Man United hivi karibuni
Mchezaji wa Inter Milan Perisic anataka kujiunga na Manchester United na wakala wake amekutana na Inter Milan siku ya jumatano kwa mazungumzo chanzo; Sky sport
Sky Sport imeripoti kuwa Manchester United wanakaribia kumsaini mchezaji huyo huku Inter Milan wakigomea katika dau la Euro milion 48 na klabu ya Manchester ikishindwa kufikia dau hilo huku kikiendelea kuripoti chombo hicho ni kuwa klabu ya Manchester imekwamia katika dau la Euro millioni 39 na kutarajia kuongeza hadi kufikia Euro milioni 45 kwa kiungo aliebakiza miaka mitatu katika mkataba na klabu ya Inter Milan aliyojiunga nayo mwaka 2015 akitokea Wolfsburg ya Ujerumani na kufanikiwa kuifungia klabu yake hiyo ya Inter Milan magoli 18 katika michezo 70 na kocha wa Inter Milan akisema kuwa anataka kumsikia mchezaji huyo mwenyewe akisema kama anataka kuondoka hapo ndio atoe maamuzi yake yeye kama kocha lakini matumaini yake makubwa ni kuwa atabaki nae kwa msimu ujao na huku mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Uingereza wakiharakisha usajili huo kabla mchezaji huyo hajasafiri kwenda china kwa ajili ya mechi za maandalizi na klabu ya sasa kutoka mji wa Milan.

Comments
Post a Comment