Man united yasajili mshambuliaji mpya

Mtandao wa Manchester umethibisha kumsaini mshambuliaji Largie Ramadhan katika klabu ya Manchester united na amesaini mkataba wa miaka minne.
                                       
Mshambuliaji mwenye umri wa miaka 16 anaungana na wachezaji wenzake wawili ambao ni Aliou Badara Traore na Ethan Galbraith wote wakiwa ni akademi waliosajiliwa na klabu hiyo katika dirisha hili kubwa la usajili.
Ramazani anatokea katika klabu ya Anderlecht kutoka ubelgiji baada ya kuwavutia sana skauti wa Manchester united kabla ya kumwaga wino.

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United