"Ni rahisi kunisajili mimi lakini sio Fellaini" Mourinho

Mourinho akana taarifa zinazoenea kuwa Maroune Fellaini atajiunga na galatasaray kwa kusema kuwa Galatasaray ni rahisi kunipata mimi na kama wanahitaji kocha nafasi ipo lakini sio
Fellaini ni mchezaji muhimu sana kwangu baada ya mchezaji huyo kufunga goli katika ushindi wao wa magoli 3 - 0. Licha ya hivo mchezaji huyo amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake na klabu hiyo huku Matic akikaribia kusaini katika klabu hiyo akitokea chelsea kwa mujibu wa taarifa.

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United