Officially Matic kwenda Man united asema haya baada ya kusaini
Aliekuwa kiungo wa Chelsea amekamilisha usajili wa kuelekea United kwa dau la £40m na kuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na klabu huku akionyesha kuwa na furaha kufanya tena kazi na mreno huyo Matic alinena kufanya tena kazi na Mourinho ilikuwa ni bahati ambayo nisingeweza kuikataa ninachosubiri ni kuanza kazi hapa kufanya mazoezi na kucheza mechi hapa pia hakuacha kushukuru klabu na mashabiki wa timu ya Chelsea kwa ushirikiano wao. Kocha Jose Mourinho alimkaribisha mchezaji huyo klabuni hapo klabu hiyo imesajili wachezaji watatu kwa £150m.