Perez akana kuzungumza na man united juu ya morata
Rais wa Real Madrid ambao ndio mabingwa wa la liga na mabingwa wa klabu bingwa barani ulaya amekanusha vikali taarifa za kuwa tayari wamefanya mazungumzo na united juu ya kuwauzia Morata.
Taarifa zilizosambaa ni kuwa Morata anakaribia kutua katika klabu ya Manchester united kwa dau nono huku Perez akisema kuwa amesoma hizi habari zaidi mara million lakini hizi taarifa si za kweli.
Morata ambae amecheza mechi 14 tu msimu ulioisha huku akishinda magoli 20 katika mashindano yote inaaminika kuwa anaelekea Manchester United kwenda kupata nafasi ya kucheza zaidi

Comments
Post a Comment