Morata achoshwa na benchi amwambia rafiki yake wa karibu kuwa anajiunga na Manchester united
Mshambuliaji wa Real Madrid anayehusishwa sana na kuelekea jijini Manchester, Alvaro Morata ili kujiunga na mashetani hao wekundu kila siku zinavyoenda taarifa zinazidi kukua ya kwamba anakaribia kusaini katika klabu ya Man united inayoongozwa na kocha mtukutu Jose Mourinho hii ni baada ya kumwambia rafiki yake wa karibu kuwa anajiunga na Mashetani hao wa jiji la Manchester na kwenda kuungana na nyota wenzake wa spain kama Mata,De gea na herrera.
Kocha wa Manchester anahangaika kuipata saini ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid ili kuziba pengo la Ibrahimovic mshambuliaji alieipa mafanikio makubwa klabu hiyo msimu uliopita, Morata ni kijana alielelewa katika klabu ya real japo ameshindwa kupata nafasi ya kudumu katika klabu hiyo jambo lililompelekea kujiunga na klabu ya Juventus kwa mkopo kabla ya kurejea tena.
Je Morata ni chaguo sahihi katika kukipa mafanikio kikosi hicho cha Man united?

Comments
Post a Comment