Alichosema Zlatan baada ya kuachwa na Man united hiki hapa

Aliyekuwa mshambuliaji wa Man united ya uingereza tayari amewaaga mashabiki wa ligi hiyo baada ya kuacha ujumbe unaoashiria kuwa hataendelea  kuchezaa ligi hiyo,ni baada ya kujibu ujumbe wake mwenyewe wa Instagram aliotuma miaka mitatu iliyopita kitu kinachoonyesha ni kama utabiri aliojitabiria mwenyewe,ujumbe huo wa mwanzo wa mwaka 2014 ulisema kuwa "kama ningechezea ligi kuu ya Uingereza nako ningeharibu kama ninavyofanya katika ligi nyingine".
Ibrahimovic licha ya kuhamia ligi kuu ya Uingereza huku akiwa na umri wa miaka 35 bado aliweza kufunga magoli 17 katika michezo 28 aliyocheza na kuandika tena ujumbe mwaka 2017 unaosema kuwa "Mimi ni Zlatan Ibrahimovic nimethibitisha nilikuja nikasema napenda kushinda"
Ibrahimovic amemkosoa Arsene Wenger aliyeponda usajili wake kwakusema ni usajili wake ni mzuri lakini umechelewa akiimanisha umri ni mkubwa hivyo hautakuwa na matokeo mazuri lakini imekuwa tofauti kwani Ibrahimovic alikuwa ni msaada mkubwa katika kikosi hivho msimu ulioisha.
Mpe neno la mwisho Zlatan Ibrahimovic kwa ku comment kama kweli unamkubali?

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United