Man united iliipotezea nafasi ya kumsajili Saul Niguez

Klabu ya Manchester united ya nchini  Uingereza iliipoteza nafasi ya kumsajili kiungo mkabaji wa Atletico Madrid mwaka 2013 kwa bei ya chini wakati kiungo huyo akitafuta nafasi ya kucheza katika klabu nyingine. Atletico waliwapa nafasi ya kumnunua klabu ya Manchester ambao hata hivyo nao hawakuwa tayari kumchukua wakati ikiwa chini ya kocha David Moyes alienda yeye na baba yake Carrington mwaka huo ambapo hata hivyo dili liliharibika baadae, kiungo huyo ambaye kwa sasa thamani yake inakadiriwa kufika Pound m.71.
Saul Niguez kwa sasa anawania vikali na klabu ya Barcelona kwa dau nono.
Saul Niguez ambae staili yake ya uchezaji inafananishwa na  kiungo wa barcelona Sergio Busquet kukaba kwa nguvu na kutengeneza mashambulizi ni mchezaji ambae Man united ingemuhitaji sana msimu uliopita.

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United