Mou amuonya Anthony Martial

Mourinho hakusita kummimiminia sifa mshambuliaji wake Anthony Martial baada ya kuonyesha kiwango kizuri msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao mawili na assist moja katika michezo yake mitatu ya mwanzo ya ligi kuu ambapo miwili kati yao amekuwa akiingia ndani ya uwanja kama mchezaji wa akiba.
Mourinho alisema
"Nadhani kuwa unapokuwa na kipaji huwezi kukiacha kipotee unapojaaliwa kipaji inabidi ukitumie kipaji chako na kukiendeleza bila ya kukiacha kipotee kipaji hicho."

"Nahitaji kuona zaidi kutoka kwake kwa sababu ana vitu vyote hivyo nafikiri ananielewa zaidi kwa sababu tuna uhusiano mzuri tu"

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za usajili Man united

Wajue wachezaji watano wa Manchester United waliovunja record msimu wa 2016 - 2017

Taarifa mpya za klabu ya Manchester United